Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2021

BWANA YESU AMETUAGIZA MAOMBI

Picha
  BWANA YESU ASIFIWE.... Maombi yana nguvu ya kubadili mazingira magumu yakawa marahisi.Tukiwa ndani ya maombi Bwana Yesu ametuamuru tuombe wakati. Bwana Yesu alisema tukeshe katika kuomba maana saa atakaporudi yeye hatujui. 35 Kesheni basi, kwa maana hamjui ajapo bwana wa nyumba, kwamba ni jioni, au kwamba ni usiku wa manane, au awikapo jimbi, au asubuhi 3 6 asije akawasili ghafula akawakuta mmelala. Marko 13 :36 37 Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia wote, Kesheni. Marko 13 :37 2. Ombeni msije mkaixxx ngia majaribun i. Hili ni agizo la Bwana Yesu kwa waliofanyiwa wanafunzi wake. 41 Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu. Mathayo 26 :41 3.Omba kwa ajili ya watenda kazi. Kati ya maagizo tuliyopewa na Bwana Yesu ni kumwomba Bwana wa mavuno kuleta watenda kazi... Mavuno ni mengi watendakazi wachache. 2 Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke watenda kazi katika mavuno yake. Luka 10 ...