KINYWA CHA CHA HEKIMA
ROHO MTAKATIFU ANATUPA KINYWA CHA HEKIMA Bwana Yesu asifiwe✋✋✋ Karibu katika tafakari hii kuhusu Roho Mtakatifu kutuzawadia kinywa cha hekima kwa wale tunaomwamini Bwana Yesu na kujazwa Roho Mtakatifu ..... Kumekuwa na tatizo kubwa ambayo watu waliookoka tunakosea kujibu wale wale wanaotuonea na kututesa hasa kutusema vibaya . Tunajikuta tunajibu vibaya au kutusi kabisa. Habari njema ni kwamba Bwana Yesu ametuahidi kuwa atatupatia Hekima katika usemi wetu na kuwashida wale wanye nia mbaya juu yetu. Pamoja na kuwashuhudia habari njema za wakovo waengine. Luka 21 ¹⁵ kwa sababu mimi nitawapa kinywa na hekima ambayo watesi wenu wote hawataweza kushindana nayo wala kuipinga . ¹⁶ Nanyi mtasalitiwa na wazazi wenu, na ndugu zenu, na jamaa zenu , na rafiki zenu , nao watawafisha baadhi yenu . ¹⁷ Nanyi mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu. ¹⁸ Walakini hautapotea h...