Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2019

LET'S DO THE WORK OF GOD

Let's do the work of God  Do the work of God day by day. For the night comes when you cannot do it. John 9 ¯¯¯¯¯¯¯¯ ⁴ We have to do the work of the one who sent me as long as it is day, that night when no one can work. ⁵ While I am in the world, I am the light of the world. The work of saving the souls of people from darkness is the most blessed work. There will be weeping and gnashing of teeth. how do you see, when we bring people out of the darkness of sin?“For the love of Christ constraineth us; for we have judged this, that one died for all, then all died; 2 Corinthians 5:14 (New Living Translation) may the grace of God be upon you to do the work of God with our heart to even give a portion of our Property to lift up the works of the one who created us.massidominick@gmail. com Fanya kazi ya Mungu madaam ni mchana maana usiku waja usipoweza kufanya. Neema ya kristo yatubidiisha kufanya kazi zake yeye aliyetuma. Yo...

NENO LA BWANA KINYWANI MWANGU

Bwana Yesu asifiwe.... Neno la Mungu ni wazo la Mungu ambalo huwekwa katika mawazo ya Binadamu na kutamkwa kwa watu ili kuwasaidia na kuwatoa katika maangamizo yao. Neno la Mungu lililoandikwa limetamkwa na Mungu kwa njia ya watumishi wake na kuandikwa katika Kitabu kiitwacho BIBLIA. Hata sasa Mungu anazungumza na watu wake kwa njia mbalimbali ili kuwasaidia. Neno hilo humjia MTU kwa njia ya Ufunuo kwa kuwekwa wazikwake kwa nguvu na ushawishi Mkubwa. Neno la Mungu ni Tofauti na maneno ya wanadamu kwani Neno la Bwana ni Roho tena ni kweli huwatoa watu katika maangamizi yao. NENO LA MUNGU KINYWANI MWAKO. Mungu Baba huweka Neno kinywani mwetu ili kutusaidia na kututoa katika maangamizi yote.(“Mwanamke akamwambia Eliya, Sasa najua ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, na ya kuwa neno la Bwana kinywani mwako ni kweli”) 1 Wafalme 17:24 Mama mjane wa Serepta katika Mji wa Sidoni alikubali kuwa Neno la Bwana kinywani mwa Eliya ni kweli na Imetimizwa maishani. Hivyo kila anayetumika awe amej...