YESU NI MTETEZI WANGU
Bwana Yesu ni mtetezi wangu ni mahali utajipatia Neno la Mungu lenye uzima katika maisha yako. Karibu sana mmahali hapa kujipatia Neno la Barka kubwa juu ya maisha yako.
❝Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.
❞
Ayubu 19: 25 (Biblia Takatifu)
KARIBU TUJIFUNZE KWA BWANA
MAJARIBU NI VITA DHIDI YA IMANI YETU. ________________
MPENDWA KATIKA JINA LA YESU NAKUSALIMU.
Napenda tutafakari pamoja kuhusu majaribu.
*Majaribu kwa ujumla ni vita dhidi ya imani yetu. Hivyo tunapaswa kubeba mzigo wa maombi katika maisha yate.*
*Neema ya Mungu yatosha kutuwezesha kushinda kila vita juu yetu.*
*VYANZO VYA MAJARIBU*
kuna vyanzo vitatu kujaribiwa katika maisha yetu.
🔆Mwili... ni adui wa maswala ya imani na rohoni hivyo tunapaswa kuwa makini na vita hivyo..
*Yakobo1*
*13 Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.*
*14 Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.*
*15 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.*
Tamaa ya mwili...
👉Uasherati
👉Ulevi
👉Kusahau 👉 kumtolea Mungu. n. K
🔆shetani... Ni mzalishaji mkubwa wa majaribu na vita vya kiroho... Tunapaswa tuwe makini asikufunge goli...
Waefeso : Mlango 4
```27 wala msimpe Ibilisi nafasi.
Ukimpa shetani nafasi ataiharibu imani yako.
Yeye ni mshitaki.
1pet 5
8 Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.
9 Nanyi mpingeni huyo, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kuwa mateso yale yale yanatimizwa kwa ndugu zenu walioko duniani.
🔆Mungu akiruhusu imani yako ijaribiwe atakuwa karibu kuhakikisha usifeli mtihani wako ili upokee taji.
1 Kor 10
13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
```
JIPANGE KUSHINDA MAJARU NA VITA VYA IMANI.
*_🛐Maombi ya kuomba kushinda kama umeonyeshwa kuwa kuna vita mbele._*
Ndiyo sababu Yesu alikwenda usiku mlimani kwa maombi ili ashinde vita vikubwa vya Imani mbele yake.
```Luka : Mlango 22
42 akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.
Usidharau ndoto au ushuhuda wa mwongoni kuhusu jambo lolotte unaloonyeshwa Mungu. Bwana Yesu alisema ombeni msije misingi jaribuni.
Hii ina maana ya kwamba kuna aina ya majaribu haitakiwi kuingia...
👉usifanye mtihani uliotungwa na shetani. Hakuna malipo kwa Mungu kwa mtihani wa shetani. Unayo silaha ya kumpinga katika maombi ya vita maana utashinda kwa damu ya mwanakondoo.
🌶UVUMILIVU
Imani yako ikiwa na uvumilivu unashinda katika vita dhidi ya Imani.
Yakobo 5
10 Ndugu, watwaeni manabii walionena kwa jina la Bwana, wawe mfano wa kustahimili mabaya, na wa uvumilivu.
11 Angalieni, twawaita heri wao waliosubiri. Mmesikia habari ya subira yake Ayubu, mmeuona mwisho wa Bwana ya kwamba Bwana ni mwingi wa rehema, mwenye huruma.
MISTARI YA KUINUA IMANI WAKATI WA KUJARIBIWA.
🛐ZABURI 23
1 BWANA ndiye mchungaji wangu,Sitapungukiwa na kitu.
2 Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongozaKatika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,Sitaogopa mabaya;Kwa maana Wewe upo pamoja nami,Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
5 Waandaa meza mbele yangu,Machoni pa watesi wangu.Umenipaka mafuta kichwani pangu,Na kikombe changu kinafurika.
6 Hakika wema na fadhili zitanifuataSiku zote za maisha yangu;Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
massidominick@gmail.com
https://dominickfoundation.wordpress.com/

Maoni
Chapisha Maoni